资讯

Watu 79 wakiwemo watoto 19, wamefariki dunia baada ajali ya basi iliyotokea katika jimbo la Herat, kaskazini magharibi mwa ...
Uokoaji ukiendelea katika mgodi wa Kinyambwiga eneo la Walwa wilayani Bunda baada ya fundi kufukiwa na kifusi akiwa anafanya ...
Pacha walioungana, Abby na Brittany Hensel wametumia zaidi ya miaka 30 ya maisha yao wakiishi kwa mshikamano wa kipekee, ...
Zaidi ya wakulima 5,000 kutoka katika kata tatu za Butundwe, Kagu na Nyawanzaja zilizopo Wilaya ya Geita mkoani Geita wanatarajia kunufaika na kilimo rafiki kitakachowasaidia kukabiliana ...
Miili ya watu wawili waliofukiwa na kifusi kwenye mgodi uliopo katika Kijiji cha Mwongozo, halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, imeopolewa usiku wa kuamkia leo Agosti 21, 2025 na hivyo ...
Wafanyakazi, ndugu na jamaa wa aliyekuwa Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Sharon Sauwa ...
Kocha Ruben Amorim wa Manchester United ameshindwa kuwashawishi mabosi kumsajili kipa Emiliano Martinez, imeelezwa.
Nyota wa Kimataifa wa Uruguay Luis Diaz amesema alizungumza na kiungo ghali wa Liverpool, Florian Wirtz kuhusu Bundesliga kabla ya kukubali dili la kujiunga na Bayern Munich.
Chelsea imeongeza jitihada kumsajili mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya Argentina, Alejandro Garnacho, 21, kutoka Manchester United dirisha hili.
Baada ya kukaa majuu kwa ngwe nyingi, kfyatufyatu si nikajitia kiherehere na mbambamba kwenda kujinoma Dar––si––Salama.
Arsenal imefanikiwa kuvuruga mipango ya mahasimu wao wa kaskazini mwa London, Tottenham Hotspur, kwa kufikia makubaliano ya kumsajili staa wa Crystal Palace, Eberechi Eze, kwa dau la ...
Ingawa sanaa na utamaduni ni miongoni mwa sekta zinazotajwa kuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa Tanzania, uwekezaji wa Serikali katika sekta hiyo ni chini ya asilimia moja ya bajeti ya ...