ニュース

Watu 79 wakiwemo watoto 19, wamefariki dunia baada ajali ya basi iliyotokea katika jimbo la Herat, kaskazini magharibi mwa ...
Uokoaji ukiendelea katika mgodi wa Kinyambwiga eneo la Walwa wilayani Bunda baada ya fundi kufukiwa na kifusi akiwa anafanya ...
Pacha walioungana, Abby na Brittany Hensel wametumia zaidi ya miaka 30 ya maisha yao wakiishi kwa mshikamano wa kipekee, ...
Miili ya watu wawili waliofukiwa na kifusi kwenye mgodi uliopo katika Kijiji cha Mwongozo, halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, imeopolewa usiku wa kuamkia leo Agosti 21, 2025 na hivyo ...
Inawezekana ni moja ya ahadi itakayohitaji utaalamu na gharama kubwa kuitekeleza lakini Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), kimeahidi kutengeneza vinu vya nyuklia endapo ...
Zaidi ya wakulima 5,000 kutoka katika kata tatu za Butundwe, Kagu na Nyawanzaja zilizopo Wilaya ya Geita mkoani Geita wanatarajia kunufaika na kilimo rafiki kitakachowasaidia kukabiliana ...
Kocha Ruben Amorim wa Manchester United ameshindwa kuwashawishi mabosi kumsajili kipa Emiliano Martinez, imeelezwa.
Wafanyakazi, ndugu na jamaa wa aliyekuwa Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Sharon Sauwa ...
Mrufani huyo na wenzake wawili (siyo warufani katika rufaa hiyo) ambao ni Deodatus Patrick na aliyekuwa Ofisa wa Jeshi la ...
Hatimaye kiu ya muda mrefu ya wakazi wa Mbagala inakwenda kupata ahueni baada Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) kusema ...
Katika harakati za kushawishi wadhamini kwa mtiania wa urais wa Tanzania wa Chaumma, Salum Mwalimu, mtiania mwenza wake, ...
Shirika la World Vision Tanzania limetimiza miaka 20 ya kutoa huduma za afya kwa watoto na jamii wilayani Nzega, mkoani ...