News

Ni wazi kuwa sauti yake, melodi, uandishi na swaggs zake katika uimbaji ni kati ya mambo yanayofanya Rama Dee kuwepo katika ...
Vita ya kuwania nafasi nne za juu katika Ligi Kuu England (EPL) msimu huu imechukua sura mpya baada ya mechi za jana Jumapili ...
Kane amejiunga na Bayern msimu uliopita akitokea Tottenham, kwa miaka mingi amekuwa akikosa mataji, ambapo hivi sasa ameweka ...
Umewahi kuwa kwenye uhusiano na mtu anayetoa harufu mbaya ya kinywa au mwili? Mara nyingi watu wanaokutana na adha hizo kwa ...
Waziri Mchengerwa alisema changamoto zilizoelezwa na Katibu wa Mbunge zimedumu kwa miaka mingi na wameendelea kuwa na Subira ...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limesema shambulio dhidi ya Katibu wa Baraza hilo, Padri Charles Kitima, licha ya ...
Jeshi la Polisi limetangaza kuchunguza tuhuma za kuhusika kwa askari katika tukio la kupotea kwa mwanaharakati na kada wa ...
Katika hali isiyo ya kawaida, Rais wa Kenya, William Ruto, amejikuta akipigwa na kiatu mkononi kilichorushwa kutoka kwenye ...
Wanafunzi 522 wa kidato cha sita wa shule nne za sekondari wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara, wanatarajia kufanya mtihani wa ...
Watahiniwa 134,390 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha sita kuanzia kesho Jumatatu, Mei 5 hadi Mei 26, 2025.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeanzisha uchunguzi kufuatia tukio la kutoweka kwa mtoto mchanga mwenye umri wa siku 10, ...
Majanga ya moto na uvamizi wa watu katika maeneo ya hifadhi za Taifa yameendelea kuwa tishio kwa maeneo ya urithi wa dunia na ...