Nuacht

Uwezo wa kufunga magoli ndio kipaji kikuu cha Sadio mane huku huku mshambuliaji huyo akiwa na wastani wa mabao 20 kwa msimu katika michuano yote huko Liverpool, mengi yakiwa yamepangwa vizuri na ...
Maelezo ya picha, Sadio Mane alifunga magoli 15 kwa mwaka 2019-20 kwa timu ya Liverpool 8 Januari 2020 Shirikisho la soka barani Afrika wamemtaja mwanasoka bora wa mwaka kuwa ni Sadio Mane ambaye ...
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya soka ya Senegal, Sadio Mane, atakosa mechi ya kwanza ya kombe la dunia, dhidi ya Uholanzi, Jumatatu ijayo nchini Qatar, kufuatia mchezaji huo kuendelea kuuguza jeraha.
Bayern Munich imetangaza kwamba mshambuliaji wa Senegal, Sadio Mane amekuwa kwenye mazungumzo nao kuhusu umahimisho wake ripoti zikionyesha kuwa anatarajiwa kwenda Al Nassr ya Saudi.