News
Moto umezuka na kuteketeza nyumba yenye vyumba tisa ambayo anaishi mmoja kati ya wachungaji wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Tabora iliyopo Barabara ya Kilimatinde, Kata ya Cheyo, Manispaa ...
Katika msimu huu wa mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN 2024), takwimu zimeonyesha kuwa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ndio timu iliyofanya vizuri zaidi ...
Wakati Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) likitangaza timu 12 zitashiriki mashindano ya Kombe la Kagame 2025 zikiwemo Yanga na Simba, wakongwe hao wa soka ...
Wafanyakazi, ndugu na jamaa wa aliyekuwa Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Sharon Sauwa ...
Mashindano hayo yaliyofikia awamu ya 12, yamewaleta pamoja viongozi wa makampuni, wafanyakazi na wanajamii kwa wiki moja, ...
Mrufani huyo na wenzake wawili (siyo warufani katika rufaa hiyo) ambao ni Deodatus Patrick na aliyekuwa Ofisa wa Jeshi la ...
Mwanafunzi mmoja kati ya 24 wa shule za msingi nchini amechelewa kuanza shule, kwa mujibu wa takwimu mpya za umri wa ...
Agosti 18, 2025, Jaji Mutungi alifungua mafunzo kwa viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa jijini Dar es Salaam yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere.
Kama ni mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii, bila shaka utakuwa umekutana na ukurasa wa Stephanie Aziz Ki, nyota wa zamani wa ...
Tume hiyo imesisitiza kuwa dira hiyo siyo ya Serikali peke yake, bali ni mwongozo wa pamoja wa kujenga mustakabali wa Taifa ...
Kampuni ya Mookh Africa imewaomba radhi mashabiki wa soka nchini Kenya baada ya mfumo wake wa mtandaoni kushindwa kufanya ...
Mwanahabari mwandamizi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Sharon Sauwa amefariki dunia alfajiri ya kuamkia Jumanne Agosti 19, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results