ニュース

Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan amewaongoza Watanzania kuadhimisha Siku ya Mashujaa. Baada ya kuwasili katika Uwanja wa ...
Rapa wa Marekani, Cardi B (32) ameshtakiwa kwa kosa la shambulio la kupiga kufuatia tukio la kumpiga na kipaza sauti (maiki) ...
Ujenzi wa kituo cha Ubungo umegharimu Sh282.7 bilioni hadi sasa huku asilimia 98.9 ya fedha hizo imetumika kwenye ujenzi na ...
Wakati huohuo imeelezwa kuwa ni hatari kuuza dawa za binadamu kuuzwa maeneo yasiyoruhusiwa kwani kunahatarisha afya za ...
Mwili wa Florid ulikutwa katika Msitu wa KDF, wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro ukiwa umefungwa kwenye mfuko wa salfeti.
Kwa mujibu wa upande wa mashtaka, mshtakiwa alitenda kosa hilo Juni 23, 2025, katika mtaa wa Lumwago wilayani Mufindi.
De Reuck anategemewa kuziba pengo la Che Fondoh Malone ambaye ameachana na timu hiyo na kujiunga na USM Alger ya Algeria.
Mbeya. Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wasimamizi, waratibu na maofisa wa uchaguzi kuhakikisha wanasimamia ...
Kwa wale ambao si wazaliwa wa Jiji la Dar es Salaam, kila mmoja ana simulizi yake ya namna alivyopokewa na mwenyeji wake ...
Akizungumza katika hafla hiyo, Shekimweri ameishukuru NBC kwa mchango huo akisema umefika wakati muafaka kuelekea kipindi cha ...
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta uamuzi wa kumfuta uanachama na kumuondoa Mbatia katika nafasi ya uenyekiti wa taifa wa NCCR Mageuzi, ikisema uamuzi huo ulikuwa batili kisheria.
Kocha huyo pia amefichua kwamba eneo linalompa matumaini zaidi katika kikosi chake ni safu ya ulinzi ingawa pia safu ya ...