ニュース

BEKI wa zamani wa Simba na Coastal Union, Abdi Banda, ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kusalia Dodoma Jiji baada ya ule wa miezi sita kumalizika msimu huu.
MANCHESTER United imeiambia Napoli na timu zote zinazomhitaji mshambuliaji wao wa kimataifa wa Denmark, Rasmus Hojlund, 22, zinatakiwa kutoa pesa au kumchukua kwa mkopo wenye kipengele ...
KATIKA dirisha linaloendelea la usajili, Simba Queens imejilipua hasa kwa kuacha majina mengi makubwa ambayo mengine hayakutegemewa kama yangeweza kupigwa chini.
WINGA wa Real Madrid, Rodrygo, ambaye kwa sasa hana nafasi kikosini, anaonekana yupo mbioni kuondoka Santiago Bernabeu na ...
MWIMBAJI mkali wa muziki wa Bongo Fleva, Juma Jux amesema katika vitu ambavyo hajawahi kujutia ni uamuzi wa kumuoa Priscilla Ajoke Ojo na kufunguka kuwa ana furaha ya kuwa na mke sahihi na ...
MWANAMUZIKI wa Bongofleva Rayvanny na mpenzi wake Fahyma, wamezima tetesi zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa wameachana.
MASHINDANO ya msimu huu ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN 2024) yametajwa kuwa bora zaidi kiushindani na wajumbe wa masuala ya kiufundi ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF TSG) ...
WAKATI timu ya taifa ya Uganda Cranes ikijiandaa kwa mechi ya nusu fainali ya CHAN 2024 dhidi ya Senegal, Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limechukua hatua ya kupunguza idadi ya tiketi ...
UONGOZI wa Coastal Union uko katika mazungumzo ya kumsajili aliyekuwa nyota wa Kagera Sugar FC, Cleophace Mkandala baada ya kiungo huyo kumaliza mkataba, huku kukiwa hakuna mazungumzo ya ...
KOCHA Ruben Amorim wa Manchester United ameshindwa kuwashawishi mabosi kumsajili kipa Emiliano Martinez, imeelezwa.
CHELSEA imeongeza jitihada kumsajili mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya Argentina, Alejandro Garnacho, 21, ...
UWEPO wa kitambi yaani kiribatumbo mwilini ni kiashiria mojawapo cha unene au uzito uliokithiri. Ni mrundikano wa mafuta ...