ニュース

Ruto aliingia madarakani mwaka 2022, akapata misukosuko ya maandamano ya vijana maarufu Gen-Z, akaonyesha ustahimilivu ...
Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga ameitaka serikali ya rais William Samoei Ruto kuzipa fidia familia za waliopoteza maisha na waliojeruhiwa kwenye msururu wa maandamano ya Gen z.
Mwaka jana Rais William Ruto alilazimika kufutilia mbali mswada wa fedha mwaka 2024 kutokana na maandamano ya vijana wa Gen Z ...
Ukraine inadai kuzipiga takriban ndege 40 za Urusi 40, katika kile kinachoonekana kuwa moja ya mashambulizi makali zaidi hadi ...
Aliyekuwa naibu wa rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amelazimika kuahirisha uzinduzi rasmi wa chama chake kipya cha Democracy for Citizens Party, DCP, uliopangiwa kufanyika Jumatano (04.06.2025) jijini ...